• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Halmashauri ya Wilaya ya Momba

  • Home
  • About us
    • History
    • Mission and Vision
    • Profile
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Infrastructure
      • Admin and Human Resources management
      • Economic &Productive
      • Planing stastistics and Monitoring
      • Livestocks and Fisheries
    • Unit
      • Legal Unit
      • Internal Audit
      • Procument and Supply Management
      • ICT
      • Bee Keeping
      • Election
  • Oportunity and Investment
    • Agriculture
    • Livestock Keeping
  • OurService
    • Health services
    • Water Services
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councils
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati Za Kudumu
      • Fedha Na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwnyekiti
    • Tatiba za Vikao
  • Projects
    • Completed Project
      • Ongoing Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Form
    • Library For Costumer Service
    • Strategics Plan
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Economic &Productive

SEKSHENI YA UCHUMI NA UZALISHAJI

Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji

Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji ina lengo la kutoa uwezeshaji wa kitaalamu kuhusu sekta za uchumi na uzalishaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa


Majukumu ya Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji

•Kuratibu utekelezaji wa sera za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Masoko katika Mkoa


•Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa katika kutoa huduma kwenye nyanja za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Masoko


•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya teknolojia zinazofaa na za gharama nafuu katika sekta za uchumi na uzalishaji


•Kusajili vyama/vikundi vya ushirika katika Mkoa


•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika juu ya uanzishaji/uimarishaji na ukaguzi wa vyama vya Ushirika na Akiba na Mikopo


•Kusaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya kuzisimamia kampuni ndogo na za kati


•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutambua maeneo nyeti ya uwekezaji


•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza na kukuza sekta ya uvuvi na kuzalisha kisasa 


•Kusimamia, kuratibu na kuwezesha masuala yanayohusiana na misitu katika Mkoa


•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika usimamizi wa sheria za kulinda wanyamapori 


•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza maeneo ya wanyamapori


•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kusimamia utalii, idadi ya wanyamapori na mienendo yao/safari zao


•Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutekeleza sheria ya Mazingira No. 2 ya mwaka 2004


•Kutoa ujuzi wa kitaalamu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye masuala yanayohusiana na maeneo/miradi ya umwagiliaji


•Kuratibu utekelezaji wa uboreshaji wa taratibu za biashara katika Mkoa 

Announcements

  • KUITWA KATIKA USAILI January 02, 2021
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UFUNDI January 22, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 WILAYA YA MOMBA DC December 18, 2020
  • SONGWE WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE ZA BWENI December 18, 2020
  • View All

Latest News

  • Siku ya Maonyesho ya nanenane

    August 13, 2020
  • Waziri wa maji na umwagiliaji Mwandisi Isack Kamwelwe atembelea wilaya ya Momba

    June 06, 2018
  • Mh naibu waziri wa Maji Mh Jumaa H Aweso akiwa katika ziyara wilayani Momba

    December 28, 2017
  • UJENZI WA BWAWA WA CHUMVI KATIKA KATA YA IVUNA -ITUMBULA

    September 18, 2017
  • View All

Video

Mkuu wa Mko wa Songwe akitoa Hotoba
More Videos

Quick Links

  • You tube
  • Plan Rep Link
  • FFARS Online Docomentation
  • FFARS Link
  • KIBALI CHA KUSAFILIYA

Related Links

  • Utumishi
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Kilimo
  • http://www.tasaf.go.tz/

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Tunduma-Momba

    Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba

    Telephone: 0252957476

    Mobile: +255 0621096315

    Email: ded@mombadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc