IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA
Utangulizi
Halmashauri ya Wilaya ya Momba asilimia 80.3% ya ardhi ya wilaya ya Momba inatumika kwa ajili ya kilimo. Mazao makuu ya chakula yanayolimwa ni Mahindi, Maragwe, Mpunga , mtama soya na viazi vitamu na Mazao makuu ya biashara ni Mpunga,alizeti.Mtama
Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika ni miongoni mwa Idara kumi na tatu (13) za Halmashauri ya Wilaya ya Momba ambayo wajibu wake ni kutoa ushauri wa kitaalam kwa Wananchi katika kuboresha uzalishaji na tija kwa mazao ya Kilimo ili kujitosheleza kwa chakula na kuongeza kipato kwa Kaya.
Idara imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni sehemu ya Uzalishaji mazao (Kilimo), Umwagiliaji na Ushirika.
Lengo la Idara
Mikakati ya kufikia lengo
Changamoto zinazoikabili Idara
Utatuzi wa Changamoto
Tunduma-Momba
Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba
Namba ya Simu: 0252957476
Simu: 025 295 7476
Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc