08 JANUARI 2024
MWITIKIO NI MZURI USAJILI WA WANAFUNZI KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2024/2025
Leo Mapema Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba Ndg, Fabian Manoza akiongozana na wataalamu kutoka Halmashuri wametembelea shule ya sekondari Chitete kukagua mwitikio wa uandikishaji wa wanafunzi kwa Mwaka Mpya wa Masomo 2024/2025 ambapo amewapongeza wazazi kwa kuwapeleka wanafunzi kwa wingi leo shuleni.
"Mwitikio ni Mzuri sana usajili wa wanafunzi kwa Mwaka Mpya wa Masomo 2024"
Tunduma-Momba
Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba
Telephone: 0252957476
Mobile: 025 295 7476
Email: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc