Halmashauri ya wilaya ya Momba inawatangazia wananchi wote kuwa inakodisha maghala yaliyopo katika kijiji cha kakozi kata ya Ndalambo wilaya ya Momba, mkoa wa Songwe Km 40 kutoka mji wa Tunduma barabara iendayo sumbawanga. Unakaribishwa mtu binafsi, kikundi, kampuni kukodisha maghala.
Tunduma-Momba
Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba
Telephone: 0252957476
Mobile: 025 295 7476
Email: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc