08 JANUARI 2024,
DED-FABIAN MANOZA
"WATOTO WASIOKUWA NA SARE TUWAPELEKE SHULENI"
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba Ndg, Fabian Manoza leo mapema amefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali ili kuangalia mwitikio wa wazazi kuwapeleka watoto shule, ambapo amewapongeza sana wazazi wa Momba kuwa mstari wa mbele katika kuwapeleka watoto shuleni.
Aidha amefurahishwa sana na watoto wengi waliohudhuria shuleni leo na kuwaagiza wazazi kuwa kwa wale wanafunzi ambao hawana sare wasibaki nyumbani waende shuleni hivyohivyo.
"ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA"
Tunduma-Momba
Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba
Telephone: 0252957476
Mobile: 025 295 7476
Email: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc