• Malalamiko |
    • Mawasiliano |
    • Maswali yanayoulizwa mala kwa mala |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Gallery |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Momba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha
      • Kilimo
      • Idara ya Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Utawala na Utumishi
      • Shughuli za Kiuchumi na Uzalishaji
      • Planing stastistics and Monitoring
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Tehama
      • Bee Keeping
      • Election
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
  • Madiwani
    • Councilors List
    • Kamati Za Kudumu
      • Fedha Na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwnyekiti
    • Tatiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Ongoing Project
  • Matangazo
    • Miongozo
    • Procedures
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Library For Costumer Service
    • Strategics Plan
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Matamko
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Gallery

DC KIHONGOSI AONGOZA UPANDAJI WA MITI ZAIDI YA 2500 KUELEKEA KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Posted on: April 24th, 2024

DC KIHONGOSI AONGOZA UPANDAJI WA MITI ZAIDI YA 2500 KUELEKEA KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA MUUNGANO


Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Mhe. Kenani Kihongosi amesema katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanikiwa kusimamia masuala ya muungano kwa ufanisi mkubwa.


Hiyo imesababisha kuimarika kwa utaifa, umoja, amani, utulivu, na hali ya maisha ya wananchi kutokana na ukuaji wa uchumi wa pande zote mbili za Muungano.


Kihongosi ametoa kauli hiyo alipowaongoza wananchi katika upandaji miti ikiwa ni shamshara za sehemu ya sherehe za kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zoezi hilo lilifanyika leo katika Kata ya Mkulwe shule ya sekondari Mkulwe, wilayani Momba.


Aidha,amewahimiza wananchi wa wilaya ya Momba kuendeleza utamaduni wa kupanda miti sehemu mbalimbali, hasa kipindi hiki ambacho mvua zinanyesha kwa wingi, ili miti iweze kustawi vyema na kuepukana na hali ya ukame.


Pia amewaomba walimu wote kuhakikisha kila mwanafunzi anapanda mti katika mazingira ya shule na kusimamia ukuaji na utunzaji wa mti huo, pamoja na kuhimiza upandaji miti majumbani, katika taasisi za serikali na zisizo za serikali, ili baadaye wilaya iwe na rutuba nzuri ya miti.


Kihongosi pia amewaalika wananchi kushiriki katika mkesha wa kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika tarehe 25 Aprili 2024 katika kata ya Kamsamba kuanzia sa 12:00 asubuhi ambapo kutakuwa na matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia channel ya TBC.


Amesema kwamba Aprili 26 ndio itakuwa kilele cha Siku ya sherehe za Muungano, wananchi watashiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayoweza kujenga taifa.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA January 04, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE January 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU April 12, 2023
  • ORODHA YA MAJINA WALIYOITWA KWENYE USAHILI WA ZOEZI LA SENSA July 18, 2022
  • View All

Taarifa Mpya

  • https://www.inec.go.tz/news/orodha-ya-asasi-zilizopata-kibali-cha-uangalizi-wa-uboreshaji-wa-daftari-mwaka-2024-2025

    June 27, 2024
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    May 20, 2024
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    May 20, 2024
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    May 20, 2024
  • View All

Video

UKODISHAJI WA MAGHALA -MOMBA DC
Picha za video

Linki za Haraka

  • You tube
  • Plan Rep Link
  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025
  • FFARS Online Docomentation
  • FFARS Link
  • KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI

Tovoti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Kilimo
  • http://www.tasaf.go.tz/
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2023

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Mawasiliano

    Tunduma-Momba

    Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba

    Namba ya Simu: 0252957476

    Simu: 025 295 7476

    Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mala kwa mala
    • Ramani
    • Huduma

Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc