Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba Bi. REGINA BIEDA "Lishe ni Msingi Mkubwa kwa Taifa letu" amesema hayo katika kikao kazi cha Mafunzo ya awali ya uandaaji Mipango na Bajeti ya Lishe kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ,
Aidha, Dhumuni kubwa la kikao kazi hicho ni kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati ya lishe wa Halmashauri ya wilaya ya Momba kuweza kupanga shughuli zenye kuleta tija kwa wananchi.
Tunduma-Momba
Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba
Namba ya Simu: 0252957476
Simu: 025 295 7476
Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc