• Malalamiko |
    • Mawasiliano |
    • Maswali yanayoulizwa mala kwa mala |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Gallery |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Momba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha
      • Kilimo
      • Idara ya Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Utawala na Utumishi
      • Shughuli za Kiuchumi na Uzalishaji
      • Planing stastistics and Monitoring
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Tehama
      • Bee Keeping
      • Election
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
  • Madiwani
    • Councilors List
    • Kamati Za Kudumu
      • Fedha Na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwnyekiti
    • Tatiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Ongoing Project
  • Matangazo
    • Miongozo
    • Procedures
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Library For Costumer Service
    • Strategics Plan
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Matamko
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Gallery

MAAFISA UGANI NA WATENDAJI WA KATA WAGAWIWA PIKIPIKI ZENYE THAMANI YA TSH MIL 159 ILI KURAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI.

Posted on: March 9th, 2023

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe RAIS Dkt Samia Suluhu Hassani ametoa pikipiki 53 zenye Thamani ya Tsh mil 159 kwa Maafisa ugani wa vijiji 47 pamoja na watendaji wa kata 6 za Halmshauri ya Wilaya ya Momba Mkoani Songwe.


Mkurugenzi mtendaji wa Halmshauri hiyo Bi Regina Bieda akizungumza katika hafla fupi ya ugawaji wa pikipiki hizo zenye Thamani ya Tsh mil 3 kwa Kila Moja,amesema lengo la pikipiki hizo ni kuwezesha utendaji thabiti wa maafisa kilimo pamoja na Maafisa watendaji wa kata 6 katika kutoa huduma katika jamii.

Aliongeza kuwa Kila Mtumishi atakayetumia pikipiki hiyo kwa kuwahudumia vizuri wakulima na kuitunza kwa Muda wa miaka 2 Itakuwa ni mali yake binafsi kwa muktadha huo Halmshauri inaamini watafanya kazi kwa ustadi na  kuzitunza  kwa manufaa ya wakulima.


Akikabidhi  pikipiki hizo kwa niaba ya Mhe Rais Mkuu wa wilaya hiyo Fakii Lulandala amesema utoaji wa pikipiki hizo ni dhamira binafsi ya Rais ili kuhakikisha watumishi hao wanatekeleza wajibu wao wa kuwafikia wakulima na kutoa elimu sahihi ya matumizi ya pembejeo za kilimo, kwa kufanya hivyo Dc ameihakikishia jamii kuwa Wilaya ya Momba itafanya vizuri katika mavuno ya mazao ya chakula ambayo yatatoa mchango mkubwa kwa mikoa ambayo mvua haijanyesha vizuri.


Mwenyekiti wa Halmshauri hiyo Mathew chickoti kwa niaba ya wananchi amemshukuru Mh Rais kwa kazi kubwa na ya upekee ya kuwajali wananchi,aidha amewaomba waliopkea vifaa hivyo kutimiza wajibu wao ipasavyo na kuacha kuvitumia kwa starehe na shughuli binafsi.


Maafisa ugani waliopokea vifaa hivyo wamesema kutokana na umbali wa mashamba ya wakulima katika vijiji pikipiki hizo zitarahisisha ufikaji kwa wakulima kwa wakati

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA January 04, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE January 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU April 12, 2023
  • ORODHA YA MAJINA WALIYOITWA KWENYE USAHILI WA ZOEZI LA SENSA July 18, 2022
  • View All

Taarifa Mpya

  • https://www.inec.go.tz/news/orodha-ya-asasi-zilizopata-kibali-cha-uangalizi-wa-uboreshaji-wa-daftari-mwaka-2024-2025

    June 27, 2024
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    May 20, 2024
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    May 20, 2024
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    May 20, 2024
  • View All

Video

UKODISHAJI WA MAGHALA -MOMBA DC
Picha za video

Linki za Haraka

  • You tube
  • Plan Rep Link
  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025
  • FFARS Online Docomentation
  • FFARS Link
  • KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI

Tovoti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Kilimo
  • http://www.tasaf.go.tz/
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2023

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Mawasiliano

    Tunduma-Momba

    Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba

    Namba ya Simu: 0252957476

    Simu: 025 295 7476

    Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mala kwa mala
    • Ramani
    • Huduma

Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc