• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Halmashauri ya Wilaya ya Momba

  • Home
  • About us
    • History
    • Mission and Vision
    • Profile
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Infrastructure
      • Admin and Human Resources management
      • Economic &Productive
      • Planing stastistics and Monitoring
      • Livestocks and Fisheries
    • Unit
      • Legal Unit
      • Internal Audit
      • Procument and Supply Management
      • ICT
      • Bee Keeping
      • Election
  • Oportunity and Investment
    • Agriculture
    • Livestock Keeping
  • OurService
    • Health services
    • Water Services
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councils
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati Za Kudumu
      • Fedha Na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwnyekiti
    • Tatiba za Vikao
  • Projects
    • Completed Project
      • Ongoing Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Form
    • Library For Costumer Service
    • Strategics Plan
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

History

Wilaya ya Momba, ni miongoni mwa wilaya mpya, ilianzishwa rasmi mwaka 2012 na Serikali kwa mujibu wa kifungu cha tano (5) sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), sura namba 287 R.E 2012 na pamoja na sheria nyinginezo zinazohusika na uanzishwaji wa Wilaya ni pamoja na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya uanzishwaji wa mikoa na Wilaya sura namba 397 ya mwaka 2012, baada ya kugawanya kwa Wilaya ya Mbozi kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wakazi wa Wilaya ya Momba, kufuatia tangazo la Serikali (GN ) Namba 73 la mwaka 2012 wilaya ya Momba ilitangazwa kuanzishwa rasmi pamoja na wilaya nyingine 18, hati rasmi ya uanzishwaji wa wilaya ya Momba na kuanza kutumika ilitolewa tarehe 23/12/2012.

Wilaya ya Momba inaundwa na halmashauri mbili , halmashauri ya Wilaya ya Momba na halmashauri ya Mji wa Tunduma, ambazo kwa pamoja zina tarafa 4, halmashauri ya wilaya ya Momba ikiwa na tarafa 3 na jimbo moja la uchaguzi na halmashauri ya Wilaya ya mji wa Tunduma ikiwa na tarafa 1 na jimbo moja la uchaguzi.

Wilaya ya Momba inapatikana Magharibi mwa Mkoa mpya wa Songwe,  kati ya Latitudo 80 10” Kusini na 90 15”kusini mwa mstari wa Equator, Longitudo 320  5’Mashariki na 320  45” Mashariki mwa mstari wa Greenwich ya Meridian. Wilaya inapakana na Mkoa wa Rukwa na Nchi ya Zambia upande wa Magharibi, Upande wa Mashariki inapakana na Wilaya ya Mbozi, Upande wa Kaskazini inapatikana na Wilaya ya Chunya, na kusini inapakana na Wilaya ya Ileje.

 

 

Announcements

  • KUITWA KATIKA USAILI January 02, 2021
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UFUNDI January 22, 2021
  • KITABU CHA ZABUNI YA CHOO January 26, 2021
  • KITABU CHA KOTESHENI YA UJENZI WA GHALA January 26, 2021
  • View All

Latest News

  • Siku ya Maonyesho ya nanenane

    August 13, 2020
  • Waziri wa maji na umwagiliaji Mwandisi Isack Kamwelwe atembelea wilaya ya Momba

    June 06, 2018
  • Mh naibu waziri wa Maji Mh Jumaa H Aweso akiwa katika ziyara wilayani Momba

    December 28, 2017
  • UJENZI WA BWAWA WA CHUMVI KATIKA KATA YA IVUNA -ITUMBULA

    September 18, 2017
  • View All

Video

Mkuu wa Mko wa Songwe akitoa Hotoba
More Videos

Quick Links

  • You tube
  • Plan Rep Link
  • FFARS Online Docomentation
  • FFARS Link
  • KIBALI CHA KUSAFILIYA

Related Links

  • Utumishi
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Kilimo
  • http://www.tasaf.go.tz/

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Tunduma-Momba

    Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba

    Telephone: 0252957476

    Mobile: 025 295 7476

    Email: ded@mombadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc