Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepata kibali cha ajira zaWatumishi wa Kada za Afya 8,070 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afyana Zahanati pamoja na Ualimu 13,130 wa Shule za Msingi na Sekondari watakaofanyakazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vyaAfya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanziatarehe 12 - 25 Aprili, 2023.
Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa Astashahada(Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree).
TARATIBU ZA KUOMBA AJIRA ZA UALIMU
Waombaji wote wenye sifa watume maombi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi chaajira.tamisemi.go.tz.
kupata tangazo hilo bofya hapa chini
TANGAZO_LA_AJIRA_-_UALIMU_NA_AFYA_-_TAMISEMI_ APRILI, 2023 (1).pdf
Tunduma-Momba
Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba
Namba ya Simu: 0252957476
Simu: 025 295 7476
Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc