• Malalamiko |
    • Mawasiliano |
    • Maswali yanayoulizwa mala kwa mala |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Gallery |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Momba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha
      • Kilimo
      • Idara ya Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Utawala na Utumishi
      • Shughuli za Kiuchumi na Uzalishaji
      • Planing stastistics and Monitoring
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Tehama
      • Bee Keeping
      • Election
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
  • Madiwani
    • Councilors List
    • Kamati Za Kudumu
      • Fedha Na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwnyekiti
    • Tatiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Ongoing Project
  • Matangazo
    • Miongozo
    • Procedures
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Library For Costumer Service
    • Strategics Plan
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Matamko
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Gallery

Mkaguzi wa ndani

UKAGUZI WA NDANI

  • Kitengo hiki kina lengo la kutoa huduma ya ushauri kwa Afisa Masuuli kuhusu taratibu sahihi na zinazokubalika za usimamizi wa masuala ya fedha. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani Sekretarieti ya Mkoa ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

  • Kupitia na kutoa taarifa juu ya udhibiti sahihi wa mapokezi, utunzaji na matumizi ya rasilimalifedha za Sekretarieti ya Mkoa
  • Kupitia na kutoa taarifa juu ya na kiutendaji na kuandaa taarifa za fedha na nyinginezo.
  • Kupitia na kutoa taarifa juu ya mifumo iliyopo inayotumika kutunza rasilimali na kujiridhisha uwepo wa rasilimali hizo husika
  • Kupitia na kutoa taarifa juu ya majibu ya menejimenti kwenye taarifa za ukaguzi wa ndani na kuisaidia menejimenti kwenye utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa kwenye taarifa mbalimbali na ufutiliaji kwenye utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
  • Kupitia na kutoa taarifa juu ya uwezo/ufanisi wa udhibiti uliopo kwenye mifumo iliyounganishwa na kompyuta kwenye Sekretarieti ya Mkoa.
  • Kuandaa na kutekeleza Mipango Mkakati wa Ukaguzi wa Ndan

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA January 04, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE January 28, 2023
  • ORODHA YA MAJINA WALIYOITWA KWENYE USAHILI WA ZOEZI LA SENSA July 18, 2022
  • View All

Taarifa Mpya

  • MAAFISA UGANI NA WATENDAJI WA KATA WAGAWIWA PIKIPIKI ZENYE THAMANI YA TSH MIL 159 ILI KURAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI.

    March 09, 2023
  • BILION 2 KUKUSANYWA KUTOKA KATIKA VYANZO VYA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 24, 2023
  • KAMATI YA YA SIASA YA WILAYA IMEFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO LEO TAREHE 16 NOVEMBA 2022

    November 16, 2022
  • MIKAKATI KUKABILIANA NA WIMBI LA UDUMAVU MOMBA

    November 09, 2022
  • View All

Video

UKODISHAJI WA MAGHALA -MOMBA DC
Picha za video

Linki za Haraka

  • You tube
  • Plan Rep Link
  • FFARS Online Docomentation
  • FFARS Link
  • KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI

Tovoti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Kilimo
  • http://www.tasaf.go.tz/

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Mawasiliano

    Tunduma-Momba

    Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba

    Namba ya Simu: 0252957476

    Simu: 025 295 7476

    Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mala kwa mala
    • Ramani
    • Huduma

Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc