DIRA
“Kuwa taasisi mfano yenye kurahisisha uhudumiaji wa jamii na kuhakikisha upatikanaji wa maendeleo endelevu kiuchumi na kijamii”
MWELEKEO
“Kutoa huduma bora kwa jamii kwa kuhakikisha matumizi sahihi na yenye ufanisi ya rasilimali zilizopo, kwa kujijengea uwezo, utawala bora na kuimarisha ustawi wa watu wa Momba na maeneo jirani”
Tunduma-Momba
Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba
Telephone: 0252957476
Mobile: 025 295 7476
Email: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc