• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Halmashauri ya Wilaya ya Momba

  • Home
  • About us
    • History
    • Mission and Vision
    • Profile
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Infrastructure
      • Admin and Human Resources management
      • Economic &Productive
      • Planing stastistics and Monitoring
      • Livestocks and Fisheries
    • Unit
      • Legal Unit
      • Internal Audit
      • Procument and Supply Management
      • ICT
      • Bee Keeping
      • Election
  • Oportunity and Investment
    • Agriculture
    • Livestock Keeping
  • OurService
    • Health services
    • Water Services
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councils
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati Za Kudumu
      • Fedha Na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwnyekiti
    • Tatiba za Vikao
  • Projects
    • Completed Project
      • Ongoing Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Form
    • Library For Costumer Service
    • Strategics Plan
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Kilimo

  • KILIMO:

Shughuli kuu ya kiuchumi kwa wakazi wa wilaya ya Momba ni Kilimo ambapo asilimia 80 ya wakazi hutegemea kilimo. Katika kilimo, fursa zilizopo katika mazao ya kilimo ni kama ifuatayo:-

  • Kilimo cha mpunga katika maeneo ya Iyendwe, chitete, kamsamba , mkulwe, chilulumo, msangano.
  • Eneo lililotengwa ni Hekta 13,466 zenye uwezo wa kuzalisha Tani 37,783 kwa mwaka.
  • Kilimo cha mtama katika maeneo ya msangano, mkulwe, chilulumo, kamsamba, mpapa, ivuna, mkomba.
  • Eneo lililotengwa ni Hekta 13,015 zenye uwezo wa kuzalisha Tani 20,515 kwa mwaka.
  • Eneo la umwagiliaji Naming’ongo .
  • Eneo lina ukubwa wa Hekta 1,500 zenye uwezo wa kuzalisha Tani 9,000 za mpunga kwa mwaka
  • Kilimo cha miwa katika kata ya kapele
  • Eneo lina ukubwa wa Hekta 1,752.
  • Kilimo cha kahawa katika tarafa ya Ndalambo
  • 2.1.1 MAZAO MAWILI MUHIMU YENYE KULETA MATOKEO YA HARAKA KATIKA KUBORESHA KIPATO CHA WANANCHI WA MOMBA

Pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Momba kuwa na fursa nyingi kama ilivyoainishwa hapo juu, mazao ya Mpunga na Mtama yanaweza kuleta matokeo ya haraka kwa wananchi katika kuinua kipato chao na kuwa malighafi za uhakika katika kuanzisha viwanda vya kusindika mazao hayo. Hii itasaidia kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao hayo.

2.1.2 KWA NINI MPUNGA NA MTAMA

Mpunga

  • Ardhi ya Momba ina udongo wenye rutuba inayostawisha zao la mpunga kwa wingi katika maeneo ya Kata za Kamsamba, Ivuna, Mkomba, Chilulumo, Mkulwe na Kapele na upatikanaji wa soko la uhakika. Maeneo haya yana jumla ya wakulima wa mpunga 19,877. Eneo linalofaa kwa kwa kilimo cha mpunga ni hekta 13,466 zenye uwezo wa kuzalisha Tani 37,783 kwa mwaka.
  • Uwepo miundombinu ya Kilimo cha umwagiliaji katika eneo la Naming’ongo ambayo itasaidia kutoa ajira kwa wakulima wapatao 7,500 kutoka hatua ya uzalishaji hadi usindikaji na masoko. Eneo linalofaa kwa umwagiliaji ni hekta 5,000 kwa sasa eneo lenye miundombinu ya umwagiliaji ni hekta 1,500. Uzalishaji Kwa mwaka unatarajiwa kufikia tija ya tani 6 kwa Hekta, hivyo kutoa jumla ya tani 9,000 kwa Hekta 1,500 zilizopo katika eneo la umwagiliaji.

Mtama

  • Ardhi ya Momba ina udongo wenye rutuba inayostawisha zao la mtama kwa wingi katika maeneo ya Msangano, Chitete, Mkulwe, Chilulumo, Kamsamba, Mpapa, Ivuna, Mkomba na upatikanaji wa soko la uhakika. Maeneo haya yana jumla ya wakulima wa mtama 4,306 na eneo linalofaa kwa kilimo cha mtama ni hekta 13,015 zenye uwezo wa kuzalisha Tani 20,515 kwa mwaka. Pia zao hili lina uwezo mkubwa wa kustahimili ukame na hivyo basi kufanya zao hili liwe la uhakika kwa kuwa huhitaji mvua kidogo.

2.1.3 JITIHADA ZILIZOFANYIKA

  1. MPUNGA

Halmashauri kwa kushirikiana na wananchi pamoja na Umwagiliaji kanda ya Mbeya imejenga Skimu ya umwagiliaji ya Naming’ongo kwa ajili ya zao la mpunga. Kwa sasa eneo lenye miundombinu ya umwagiliaji ni hekta 1,500 zinazolimwa. Uzalishaji Kwa mwaka unatarajiwa kufikia tija ya tani 6 kwa Hekta, hivyo kutoa jumla ya tani 9,000 kwa Hekta 1,500.

Pia halmashauri kupitia mradi wa SAGCOT-CTF unaotekelezwa na Kampuni ya Mtenda imetoa mafunzo kwa wakulima 41 kuhusu kilimo cha biashara na elimu ya ujasriamali. Mradi tayari umeajiri Afisa Kilimo Mmoja ambaye atashughulikia utekelezaji wa mradi huo katika wilaya ya Momba eneo la Naming’ongo.

Halmashauri kupitia mradi wa MIVARF imewezesha uanzishwaji wa vikundi 76 katika kata nne za Ivuna, Mkomba, Chilulumo na Mkulwe na chama kimoja cha ushirika katika kata ya Kamsamba. Vikundi hivi vina jumla ya wakulima 1,835 ikiwemo wanawake 1,004 na wananume 831 wanaojishughulisha na kilimo cha mpunga. Vikundi hivi vinalima jumla ya hekta 1,944 ambazo huzalisha tani 4,747.68 kwa mwaka.

  1. MTAMA

Halmashauri kuanzia mwaka 2015 imehamasisha wananchi kulima zao la mtama kwa kuwa zao hili lina soko la uhakika na Uhakika wa kuvuna upo kwa vile linavumilia ukame.

Katika mavuno ya msimu wa 2015/16 halmashauri iliwaunganisha wakulima na kampuni ya Rapha group ambayo ilinunua tani tani 1,200 za mtama katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba.

Aidha Halmashauri imefanya mazungumzo ya kuwaunganisha wakulima wa zao la mtama kwenye kilimo cha mkataba na kampuni ya OBO investment ambayo ipo tayari kununua tani 15,000 za mtama.



Announcements

  • KUITWA KATIKA USAILI January 02, 2021
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UFUNDI January 22, 2021
  • KITABU CHA ZABUNI YA CHOO January 26, 2021
  • KITABU CHA KOTESHENI YA UJENZI WA GHALA January 26, 2021
  • View All

Latest News

  • Siku ya Maonyesho ya nanenane

    August 13, 2020
  • Waziri wa maji na umwagiliaji Mwandisi Isack Kamwelwe atembelea wilaya ya Momba

    June 06, 2018
  • Mh naibu waziri wa Maji Mh Jumaa H Aweso akiwa katika ziyara wilayani Momba

    December 28, 2017
  • UJENZI WA BWAWA WA CHUMVI KATIKA KATA YA IVUNA -ITUMBULA

    September 18, 2017
  • View All

Video

Mkuu wa Mko wa Songwe akitoa Hotoba
More Videos

Quick Links

  • You tube
  • Plan Rep Link
  • FFARS Online Docomentation
  • FFARS Link
  • KIBALI CHA KUSAFILIYA

Related Links

  • Utumishi
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Kilimo
  • http://www.tasaf.go.tz/

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Tunduma-Momba

    Postal Address: S.L.P 273 Tunduma Momba

    Telephone: 0252957476

    Mobile: 025 295 7476

    Email: ded@mombadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc