NIDA MOMBA WAGAWA VITAMBULISHO KWA WANANCHI .
IKIWA NI MWENDELEZO WA ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA MOMBA MHE. KENANI KIHONGOSI KATIKA KATA YA NDALAMBO WANANCHI WOTE WA KATA HIYO WALIKUWA WAMESAJILIWA NA KUPATIWA NAMBA ZA NIDA WALIWEZA KUPATIWA VITAMBULISHO VYAO NA AFISA KUTOKA OFISI YA NIDA WILAYA YA MOMBA BI. RAHMA MAGAI.
Tunduma-Momba
Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba
Namba ya Simu: 0252957476
Simu: 025 295 7476
Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc