Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba anawatangazia wananchiwote kuwa atakuwa na shughuli za Mitihani ya kidato cha Pili
Hivyo basi inahitaji kukodisha rnagari matano (5) yatakayotumika kwenye shughuli za Mitihani ya Kidato cha Pili inayotarajia kuanza lVwezi Oktoba 2022 kwa rnuda wa siku. tangazo.pdf
Tunduma-Momba
Anwani: S.L.P 273 Tunduma Momba
Namba ya Simu: 0252957476
Simu: 025 295 7476
Barua Pepe: ded@mombadc.go.tz
Haki zote zimeifadhiwa ©2018 Momba dc