Posted on: October 24th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya
Momba Bi. REGINA BIEDA anawatakia kila la Kheri
wanafunzi wote wa Darasa la nne katika Mtihani
wao wa Taifa 2023.
...
Posted on: October 24th, 2023
Serikali ya Halmashauri ya wilaya ya Momba imeanza mkakati wa kutoa elimu na kuimiza kwa kila mwananchi mwenye umri kuanzia miaka 18 kuchangamkia fursa ya kilimo cha ufuta na korosho ambacho kimeoneka...